how about this....
getting ready for her send off.....@saloon
Bernadetha na dada yake katika picha ya pamoja
wide smile in her special day....
BERNADETHA akilishwa keki na dada yake mpendwa..
champagne ikiwa tayari kwa kufunguliwa na bibi harusi mtarajiwa
lets share happiness altogether.....champaign toss
zawadi ya saa akikabidhiwa mume mtarajiwa wa Bernadetha ndani ya ukumbi wa Best choice tabata
woooooah!!!!!!!....zawadi kutoka kwa mke mtarajiwa
wazazi wa bernadetha wakinena maneno machache na kutoa wosia kwa binti yao mpendwa bernadetha