HARUSI YA DR.ALLAN KAJUMULO NA DORAH

 FEW Hours before the major function..bi Dora amependezza sana ...
 self reflection on the very important day in her life...at Glambox saloon,Masaki.

 huhuuuu..i'm in love with this little love....
 Bi harusi...Dora akiwa kwenye pozi la pamoja na maids
 Maharusi wakiwa ndani ya kanisa la KKKT Usharika wa Msasani wakila kiapo cha ndoa ya kuwa mwili mmoja.
 Maharusi wakiwa na nyuso za furaha...
Dr. Allan akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi na mkewe wake mpendwa bi Dorah
 waaaaaaooh!!!!! maid of honor akimpa zawadi ya busu matata bi harusi.....
 keki ikisubiri kukatwa na maharusi.....
siku ya pekee isiyosahaulika..bi harusi akiwa katika pozi laini na msimamizi wake